Hakutaki Lyrics

Hakutaki
Hakutaki, eeeeh
Iiiih, ondoka zako
Uuuuh, umeachwa
Hakutaki, we nenda zako

Simu unapiga, hapokei, yupo busy
Unamuita hatokei, yupo busy
Siku inaisha, hamuongei, usimuulize
Ila kwenye mapenzi, hakuna u busy
Cha kujisumbua sumbua we, utajiua bure
Unayempenda hakupendi, hisia zipo kwa yule
Wanapika na kupakua, walianza toka shule
Unabaki una cry, don’t trust anybody
Basi hana mood, hana time
Usimghasi ye hana shida na wewe
Basi hana mood, hana time
Usimghasi ye hana shida na wewe

Aah, hakutaki, eeeeh
Iiiih, ondoka zako
Uuuuh, umeachwa
Hakutaki, we nenda zako

Mi mwenzako niliachika, nilihuzunika
Nikasema yote ya dunia hayakai yanapita
Guvu ya kusaka pesa, nikaongeza
Nikala, nikapendeza
Nikasema no matter, waah aah
Sina cha kupoteza
Mi hanitishitishi, wala hanibabaishi
Kunipenda hiyo vipi
Mi aniache, sirudii matapishi
Kakupangusa, wachaaa
We mpanguse, wacha wee
Si kakususa, usimtafute, na we msuse
Chiki chiki chiki chiki G
Chi chi chi
Mteme kama big G
Chi chini chi
Chiki chiki chiki chiki G
Chi chi chi
Mteme kama big G
Chi chini chi

Hakutaki, eeeeh
Iiiih, ondoka zako
Uuuuh, umeachwa
Hakutaki, we nenda zako
Hakutaki, eeeeh
Iiiih, ondoka zako
Uuuuh, umeachwa
Hakutaki, we nenda zako

Categorized in:

Tagged in: